Simbachewene amerogwa na nani?

Wao wamesema kuwa wale walioungaunga vyeti watafute kazi katika taasisi na mashirika binafsi Ila Serikali inataka wasomi wa Cheti kimoja tu bila kutafuta credit
 
Sikusumbuka kutafuta credit mara ya pili,maarifa ya mwanzo yanatosha kujifunzia maarifa mapya zaidi,labda kama ukivia akili huwezi tena kujifunza kitu.
 
Wao wamesema kuwa wale walioungaunga vyeti watafute kazi katika taasisi na mashirika binafsi Ila Serikali inataka wasomi wa Cheti kimoja tu bila kutafuta credit
Sasaaa hao hawataki wasomi ? Wanajichanganya tu kama wanaona wanafaa huko kwanini na serikali isiwaajili tu
 
Wanataka wasomi Ila,wawe wa cheti kimoja sio viwili au nikutumie sehemu ya hayo maneno kiasi fulan yanachoma kwa watu ambao sasa iv wapo mtaani wakisubiri post za serikalini
 
Yaan kuna watu wame re-seat mtihani kwaiyo wabavyeti 2 vya form 4 wengine mpaka 3 na wengine wamerudia form 6 na wanavyeti 2 kwaiyo kwamujibu wa habari ile inasema eti hawa ni wasomi wa ku ungaunga
Hii kitu Simbachawene alikanusha.
 
Hivi toka lini mtu akafika form sic bila cheti cha Fomu foo
 
Wanataka wasomi Ila,wawe wa cheti kimoja sio viwili au nikutumie sehemu ya hayo maneno kiasi fulan yanachoma kwa watu ambao sasa iv wapo mtaani wakisubiri post za serikalini
Mkuu bora hata walio mtaani kuna wengine ndo wapo vyuoni,habari hizi zinachoma na ukizingatia in tetesi.
 
Dah ni shida sana kuzaliwa na kuishi nchi yenye wajinga wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…