Usimshangae mkuu mbona hata yeye mwenyewe basi akili zake ni za kuunga unga tu!Nimeshangaa sana kwa kweli
Kuna habari nilitumiwa tu online ikisema Waziri Simbachewene amesema
kuanzia sasa serikali haita ajiri 'watu wenye vyeti vya kuunga unga' akimaanisha watu waliosoma mfano certificate...na baadae kujiongeza hadi degree au wale ambao walisoma kidogo kidogo huku wameajiriwa hadi kufika chuo kikuu..
Simbachewene huyu huyu amenukuliwa akisema wapinzani hawaruhusiwi kutekeleza sera za vyama vyao iwapo wameshinda halmashauri.
Kinachoshangaza Simbachewene mwenyewe historia yake inafahamika
alisoma kwa kuunga unga na inajulikana alikuwa 'mpiga debe'
stendi ya mabasi Dodoma kabla ya kuunga kuunga hadi kufika chuo kikuu
Ukichanganya na hili la wapinzani wasirihusiwe kutumia ilani zao wakishinda uchaguzi nimebaki najiuliza tu ameshikwa na nini?
Nini kinamfanya aongee vitu kama hivi? kuna nini hasa? mbona alipokuwa kimyaa tulimuona kama kiongozi anaeonekana ana busara.Kuna nini kinamsukuma kuongea haya?
Hivi hata Magufuli hatuwezi kusema kasoma kwa kuunga unga? Au nini tafsiri ya kusoma kwa kuunga unga?
hahaha wapi kubenea a.k.a elimu ya hapa na pale
AKIMAANISHA AU WEWE NDIO UMEMAANISHA??????????????????????Kuna habari nilitumiwa tu online ikisema Waziri Simbachewene amesema
kuanzia sasa serikali haita ajiri 'watu wenye vyeti vya kuunga unga' akimaanisha watu waliosoma mfano certificate...na baadae kujiongeza hadi degree au wale ambao walisoma kidogo kidogo huku wameajiriwa hadi kufika chuo kikuu..
Simbachewene huyu huyu amenukuliwa akisema wapinzani hawaruhusiwi kutekeleza sera za vyama vyao iwapo wameshinda halmashauri.
Kinachoshangaza Simbachewene mwenyewe historia yake inafahamika
alisoma kwa kuunga unga na inajulikana alikuwa 'mpiga debe'
stendi ya mabasi Dodoma kabla ya kuunga kuunga hadi kufika chuo kikuu
Ukichanganya na hili la wapinzani wasirihusiwe kutumia ilani zao wakishinda uchaguzi nimebaki najiuliza tu ameshikwa na nini?
Nini kinamfanya aongee vitu kama hivi? kuna nini hasa? mbona alipokuwa kimyaa tulimuona kama kiongozi anaeonekana ana busara.Kuna nini kinamsukuma kuongea haya?
Hivi hata Magufuli hatuwezi kusema kasoma kwa kuunga unga? Au nini tafsiri ya kusoma kwa kuunga unga?
ZUNGUSHA MIKONOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOMbona watanzania wanastaajabisha, Mfumo ule ule alafu mnatarajia matokeo tofauti? Hayo ndio matokeo
Wizara aliyopewa imemzidi uwezo wa kuongoza TAMISEMI hana kabisa amebaki kuropoka huu ndio Sugu alisema mzuka wa raisiKuna habari nilitumiwa tu online ikisema Waziri Simbachewene amesema
kuanzia sasa serikali haita ajiri 'watu wenye vyeti vya kuunga unga' akimaanisha watu waliosoma mfano certificate...na baadae kujiongeza hadi degree au wale ambao walisoma kidogo kidogo huku wameajiriwa hadi kufika chuo kikuu..
Simbachewene huyu huyu amenukuliwa akisema wapinzani hawaruhusiwi kutekeleza sera za vyama vyao iwapo wameshinda halmashauri.
Kinachoshangaza Simbachewene mwenyewe historia yake inafahamika
alisoma kwa kuunga unga na inajulikana alikuwa 'mpiga debe'
stendi ya mabasi Dodoma kabla ya kuunga kuunga hadi kufika chuo kikuu
Ukichanganya na hili la wapinzani wasirihusiwe kutumia ilani zao wakishinda uchaguzi nimebaki najiuliza tu ameshikwa na nini?
Nini kinamfanya aongee vitu kama hivi? kuna nini hasa? mbona alipokuwa kimyaa tulimuona kama kiongozi anaeonekana ana busara.Kuna nini kinamsukuma kuongea haya?
Hivi hata Magufuli hatuwezi kusema kasoma kwa kuunga unga? Au nini tafsiri ya kusoma kwa kuunga unga?
Wakaajiriwe viwanda vya unga 7bu wao wanaungaungaKuna watu wanajifanya wanasahau historia zao
Sasa anataka waliosoma kwa kuunga unga wakaajiriwe wapi?