Simbachawene usibebe gunia la misumari lisilo lako

Simbachawene usibebe gunia la misumari lisilo lako

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,141
Reaction score
96,170
Acha watu waandamane kwa HAKI na Amani. Walioua achana nao kuwasaidia kubeba gunia la maiti za D29.

. Jitenge nao kabisa.

Ni hayo tu!
 
Ana act kama shock absorber shauri yake.
 
Huyu na mwanae aliyewafokea polisi naona ni sawa tu.
Yani kaongea mashudu ya kufa mtu.
 
huyo jamaa si alikuwa na hiyo hiyo nafasi ya ukuu wa usalama kipindi Magu anavuta, au ? …
 
CCM walizoea sana kutuonea watanzania, wakatifanya sisi ni mtaji wao, ni wakati wa kujivua kwenye huu ujinga, ili baadae tuheshimiane, tuko barabarani kwa njia yeyote, lazima tuheshimiane na manyanyaso ya miaka 60 yakome, ndugu zangu tinahitaji numbers , hakuna kurudi nyuma, ukombozi hauji hivi hivi ni lazima tupiganie nchi yetu.
 
Simbachawene anaonekana ni mtu muungwana na mstaarabu sana. Ajiepushe sana na hii mitego iliyopo mbele yake. Asije akavuna laana kwa kizazi chake na mateso kwake baadae mambo yatakapozidi kuharibika.
Acha watu waandamane kwa HAKI na Amani. Walioua achana nao kuwasaidia kubeba gunia la maiti za D29.

. Jitenge nao kabisa.

Ni hayo tu!
 
Back
Top Bottom