Haya ndiyo watanzania tunapenda kupotezea muda. Amefumaniwa au hajafumaniwa si sehemu ya mkakati wa maendeleo ya taifa hili, zaidi ya gharama kwa maana ya muda tunaotumia kujadili na kutafuta ukweli kuhusu hili. Ukweli anaujua mwenye mke, mke na aliyefumaniwa.
yaani huu upuuzi unauita pigo??
we tyari ushaamini sio kweli kua simba chawene hakufumaniwa??
hujaona contradiction kati ya maelezo ya simbachawene kua kuna mtu alifumaniwa lankini
RPC anadai hakuna tukiao kama hilo katika mkoa wake mzima??
hili ni pigo kwako wewe sio chadema.
simbachawene ni mzinzi sana huyo jamaa mi namfahamu sana anakula mpaka watoto wa shule.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Linus Sinzumwa alipoulizwa na Mwananchi Jumapili alisema hakuna tukio kama hilo lililotokea mjini Singida wala mahali popote katika mkoa huo.
Huo ni uzushi tu, hakuna tukio hilo mjini Singida na wala sijasikia taarifa zozote za aina hiyo kutoka maeneo mengine mkoani hapa, alisema Sinzumwa.
MY TAKE:
Kweli Pesa mwanaharamu! Uongo unaweza kugeuzwa kuwa ukweli na ukweli kuwa uwongo!
Kamanda wa Polisi ndiyo katuchanganya kabisa. Simbachawene amekiri kuwa ni kweli tukio lilitokea katika hoteli hiyo, lakini lilimhusisha mtu mwingine, huku RPC anatuambia hakuna tukio kama hilo!
Au ndio ukweli umeuzwa?
akamjeruhi kwenye mkono na hiyo sime kama anabicha aeleze jeraha kwenye mkono ni la nini.
kwani si ameonyesha mikono yake je ana jeraha lolote!alafu acheni ubwege hayo ni sehemu ya maisha,jacob zuma alikuwa na kesi ya kubaka so haya maisha msisahau utu wenu bcous siasa.
Sasa kama tuna dwell kwenye jeraha kama ushahidi, mbona amenyoosha mikono juu na suti yake ya mikono mifupi, inaonekana hana jeraha? Ulishawahi kusikia kuwa Prof Mwandosya amefariki, na yupo hai hadi leo?