Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,777
Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Kibakwe mkoani Dodoma, George Simbachawene, amesema kuwa Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Job Ndugai, atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa katika kusimamia utungwaji wa sheria ya Makao Makuu ya nchi yaliyopo Dodoma.
Akizungumza katika mahojiano kwenye kipindi cha Jambo Wikendi cha TBC1 leo Agosti 10, 2025, Simbachawene ameongeza kuwa katika kipindi cha uongozi wake, Hayati Job Ndugai alitoa mchango mkubwa katika utengenezaji wa sheria na kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.