Mcmillan de Maghayo
Senior Member
- Dec 6, 2025
- 197
- 437
Mbona inasemekana aliandika barua ya kujiuzulu. Lakini Manyonyo anajifanya katengua nafasi yake?Amna' Kuna kauli aliitoa week iliyopita kuhusu nafikiri ni Maandamano akasema kaagizwa na Anayemuita Rais, ile kauli kuwa kaagizwa haikuwa sahihi....
Next time akumbuke kuepuka kuongea ongea hovyo
adriz de Uumbwaz