KUCH KUCH
JF-Expert Member
- Dec 18, 2015
- 1,327
- 966
Unateseka ukiwa wap. Toka 1998 duu hio sio timuHapa ndo mwisho wa Mbeleko FC.
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Unateseka ukiwa wap. Toka 1998 duu hio sio timuHapa ndo mwisho wa Mbeleko FC.
Tatizo utopolo hamna kumbukumbu, simba alimtoa zamalek kwao tena wakati huo zamalek alikuwa ni bingwa mtetezi.Leo nafunga na kuomba mikia adondokee hapa
ES Tunis
Zamalek
Kaiser chief