ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,370
- 3,006
MCHEZA KWAO HUTUNZWA!
MKANA KWAO MTUMWA!
That’s all
Ingekua Simba ndio imefungwa matokeo ungesha yamwaga hapa Hajar😀😀😀😀,Hahahaaa. Hahahaaaaa. Hahahaaaaaa.
Kama wataka kuniambia niambie tu Mtani kuwa mmeona mwezi leo. 😂😂😂😂
Mmeshinda ngapi kwani? 👂👂👂
😳😳😳Watupishe sieeee. Eti hiyo pia ni ndege ya kuweka nayo rekodi. Khaaaa.
Hahaaa. Si ndio Chama langu sasa ntaachaje kujua matokeao jamaani.Ingekua Simba ndio imefungwa matokeo ungesha yamwaga hapa Hajar😀😀😀😀,
Yanga mtapata tabu sana mwaka huu😛😛😛
Ndiiio 🙈🙈
Kwani wewe hujui hawa ni mambumbu wa duniaRekodi ya dunia!? Uko serious mkuu na hili neno?😀😀
HajarNdiiio 🙈🙈
Niambie SestenHajar
Mechi ijayo mnacheza na Waarabu, kiroho hakikudundi?Niambie Sesten
Walaaaaa. Kwani mbali si baadae tu saa moja.Mechi ijayo mnacheza na Waarabu, kiroho hakikudundi?
Kwa hiyo wahisi asilimia kubwa ni ushindi eeh? Kwa timu gani mlokua nayo😳😳😀Walaaaaa. Kwani mbali si baadae tu saa moja.