NDUKI
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 3,440
- 2,450
Okay. Basi kwa niaba ya Wazaramo mnisamehe jamaani lol.
![]()
![]()
![]()
![]()
Kwa hapo tayari tumeshakusamehe hata Uzaramuni kwa sasa unaruhusiwa kuja bila ya tatizo ati.
Karibu sana mamitto.
Okay. Basi kwa niaba ya Wazaramo mnisamehe jamaani lol.
![]()
![]()
![]()
![]()
Halafu nyie Yanga nyie......basi tu ngoja niwaache kwa leo😎😎😎Kazi mnayo. Hivyo hicho pia ni cha ajabu lol. Poleni Watani zangu.
Kwani ndio mmeizindua nyie ndege au watu walishaipanda? Wale wasemaje sasa. 😂😂😂
Hebuu 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Uje kuleee uniombe radhi kwa hiliHahahaaa. Sema wewe mwaya.
Na wanakutanaga wanafanana kila kitu.
(Mniwie radhi watani zangu ninaowaheshimu)
Hebu funguka mkuuYule mchafuzi wa vijana
😳😳😳😳 leo umekua Mtibwa tena Hajar?Hahahaaa. Wajiandae kisaikolojia aisee.
Ndo na mimi nilikuwa nashangaa hapa wakato ilishazinduliwa na watu kitambooo hahhahaKazi mnayo. Hivyo hicho pia ni cha ajabu lol. Poleni Watani zangu.
Kwani ndio mmeizindua nyie ndege au watu walishaipanda? Wale wasemaje sasa. 😂😂😂
Hebuu 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Kwahyo wamepost insta!.bado tuna safari ndefu sana[QUOTEhata yanga ikitembeza bakuli kutokanana vyuma kukaza tutaipost insta
Watupishe sieeee. Eti hiyo pia ni ndege ya kuweka nayo rekodi. Khaaaa.Ndo na mimi nilikuwa nashangaa hapa wakato ilishazinduliwa na watu kitambooo hahhaha
Nipo aiseee. Mishe tu
Hahaaa. Boora.Halafu nyie Yanga nyie......basi tu ngoja niwaache kwa leo😎😎😎
😂😂😂😂 pole SestenUje kuleee uniombe radhi kwa hili
Yaani na ubingwa wetu woote wa VPL bado unaleta maneno ya ukorofi na uchochezi!😡🙁😉
Wengi SanaaaaaMhhh! Wa Yanga wengi kumbe humu!😳😳😳
Sitaki😂😂😂😂 pole Sesten