Agogwe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 2,742
- 3,012
Leo nimecheka sana wakimataifa wametepetaHalafu wana mechi nyingine tarehe 30! 😁😁😁 Hawa mwaka huu tunaua!
Leo nimecheka sana wakimataifa wametepetaHalafu wana mechi nyingine tarehe 30! 😁😁😁 Hawa mwaka huu tunaua!
Hivi kumbe kuna muda unamwamini Mungu. Ubarikiwe na uache uchawi sasa.Mungu ibariki SIMBA
Huyu refa anawabebaDakika Nne Zimeongezwa Mpaka Sasa ni 9
Miaka 45 tu mechi zishamshindaHuyu Refa mbona anakuwa mkali hivi? Kwa umri wake hakutakiwa awe hapo