Dah! Sa sijui tufanyejeHawa wenye njano wawe Makini watatugharimu zaidi ya hapa.
Kama mechi ndiyo imeanza sasa
Safari yetu kama wawakilishi wa nchi ndo inaishia hapaUsituponze mzee, tukifunguka twafa[emoji1].
Mapema..tulieniUzembe wa kocha umetu cost kwenye hii game
Jamaa alitakiwa atolewe mapema.Ya halali ila kajitakia.
Ilikuwaje mkuuYa halali ila kajitakia.
Hamna kocha hapoDah washapata goli
Tulia dawa iingie😂😂😂😂 hiviiii mmenda kucheza mpira au kucheza kwaito
Dah! Sa sijui tufanyeje
Hatari mkuu, na goli tumepigwa.Safari yetu ndo inaanzia hapa