Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 578
- 2,614
Wamemcheki ngada?
Tunazima hii taarifa yenu mliyozushaDuh, sio mchezo mbona haraka hivyo, kuna mashaka hapa si bure..
Siyo uhuni...!! ALiyeumwa na nyoka akiona unyasi anashitukaAcha uhuni?😡😡
Jina: Zakaria Chlouha
Klabu aliyotoka: Al Urooba (UAE)
Kuzaliwa: 5th February 1970
Utaifa: Morocco
View attachment 2417620
Naona ndio kama imeibua maswali zaidi..subiri mtaona [emoji2][emoji2]Tunazima hii taarifa yenu mliyozusha
Wanafunika kombe mwanaharamu apite.Jina: Chlouha Zakaria
Klabu aliyotoka: Al Urooba (UAE)
Kuzaliwa: 5th February 1970
Utaifa: Morocco
View attachment 2417620
Timu haiwezi kuendelea kubaki bila Kocha wa Makipa, Hilo suala huwezi Jua litachukua muda Gani kuweza kufikia Tamati.Wanafunika kombe mwanaharamu apite.
Matola anahisi labda na viongozi nao wanafanya biasharaDuh, sio mchezo mbona haraka hivyo, kuna mashaka hapa si bure..