Hata kama ni ushabiki kuna wakati unapaswa kukaa kimya mpaka sasa hatua iliyopiga simba sio yakuongea na yanga yaani ni matawi tofauti kabisa heri uongelee ligi kuu maana ndo unaweza kuwa na sauti
Hahah umenikumbusha mechi ya kwanza kule Zambia Chama alivyopoteana. Pale Nkana kila anaegusa mpira Chama hadi Hassan Kessy Chama. Asee sijui Mikia iliroga?!
Hahah umenikumbusha mechi ya kwanza kule Zambia Chama alivyopoteana. Pale Nkana kila anaegusa mpira Chama hadi Hassan Kessy Chama. Asee sijui Mikia iliroga?!
mikia wanaulizana huko....kama makambo ni vile...huku je kuna makambo wangapi???.....poleni mikia maana hata komba anao
Punguza bangi kichwan maana unakoelekea ciyo kuzur
Sent using Jamii Forums mobile app