Simba wanapotea

Makonyeza

Member
Feb 2, 2020
69
252
Walianza hivi

Malengo yetu msimu huu ni

Kubeba makombe yote ya ndani tumeanza na mapinduzi cup

Pia lengo letu ni kufika nusu fainali champions league

Kisha wakaendelea

Yanga wao kazi yao kuongoza ligi sisi tunachukua ubingwa

MATOKEO YAKE!!!!!

Champions league hakuna cha nusu fainali wala nusu kijiko

Kwenye ligi nako wameshapotea

Wanacheza kombe la walioshindwa linaitwa shirikisho

Hivi sasa

Wamebaki VAR VAR VAR VAR VAR VAR VAR. Utafikiri VAR nalo ni kombe

juma nassoro Dovutwa
 
Unateseka ukiwa wapi wewe chura fc?
Kawapokeni mabasha wenu wanakuja maana ndio mlichosalia nacho
 
Walianza hivi

Malengo yetu msimu huu ni

Kubeba makombe yote ya ndani tumeanza na mapinduzi cup

Pia lengo letu ni kufika nusu fainali champions league

Kisha wakaendelea

Yanga wao kazi yao kuongoza ligi sisi tunachukua ubingwa

MATOKEO YAKE!!!!!

Champions league hakuna cha nusu fainali wala nusu kijiko

Kwenye ligi nako wameshapotea

Wanacheza kombe la walioshindwa linaitwa shirikisho

Hivi sasa

Wamebaki VAR VAR VAR VAR VAR VAR VAR. Utafikiri VAR nalo ni kombe

juma nassoro Dovutwa
Umesahau na "The return of champions" ya misukule
 
Kati ya nchi zooooote Africa,ni nchi 5 tu ikiwemo Tz zipo kwenye mashindano. Halafu kuna mazuzu yanabong'oa kukejeli
 
Kati ya nchi zooooote Africa,ni nchi 5 tu ikiwemo Tz zipo kwenye mashindano. Halafu kuna mazuzu yanabong'oa kukejeli
Haya sio mashindano ya Nchi ni vilabu mbona unapotosha!! Umeona bendera ya Nchi yoyote kwenye hizo mechi??.
 
Back
Top Bottom