Simba wanaopanda mitini hawa hapa

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2013
Posts
942
Reaction score
567
Hi great thinkers simba kuweza kupanda mtini ni kitu cha kustajabisha sana kwakweli.

Mimi napata wasi wasi kuwa inawezekana ni machotara wa simba na chui kidding.
 
Simba hao wanapanda/kwea miti Kwasababu Wanaepukana na wadudu wasumbufu hasa majira ya mvua, pia inawasaidia kuona mawindo kiurahisi hasa majira hayo ya mvua kutokana na nyasi kuwa ndefu zaidi.
 
Hawa simba wana uhusiano wowote na wale wanaopanda maghorofa ya pale msimbazi?
 
Hifadhi ya manyara hao simba wako siku nyingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…