changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,047
- 10,159
Hana gharama!Ila hii timu!,sasa kama huyo kagere ameshazeeka wanaendelea kubaki nae kwanini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Simba ndio ilipofikia uku!! Yaani CEO wa Klabu anafikia hatua ya kupokea na kupiga picha na tuzo za mchongo!!
Sikufikiri kua anguko la Simba litakua kubwa Kwa kiwango hiki.