Simba waliwakosea nini Yanga?

Jwaneng Galaxy anapokelewa Avic Town iliko kambi ya Yanga..

Yanga wanaondoka kwenda Egypt hosteli zao wanawachia wakina Baruti

Mbaya Zaidi video analyst wa Yanga wakamuacha Kambini ili asaidiane na Benchi la Ufundi la Jwanang Galaxy kuisoma Simba,huku wakitoa siri nyingi za Simba..

Yaani wanaenda kucheza Mechi kubwa dhidi ya Al Ahly Lakini waliamua ku lisk wakamuacha mtu muhimu sana wakumsoma mpinzani wao Al Walikuwa tayari kupoteza dhidi ya Al Ahly ili wahakikishe Simba anatolewa inje ya mashindano

Yanga tokeni hadharani semeni Simba Waliwakosea nini,maana mmeanza mda mrefu kuwa Sapoti wageni.
Mbona yanazungumzika tu ,Kumbukeni Barabara mnayopita imechongwa na Simba miaka mitano mfululizo simba wanafanya vyema kwenye mashindano haya

Daaah Ing'asi yemkola nyenye ikondite kwasababu ya Inyarupala yeyakolige kila siku

Kuna nini nyuma ya pazia?
Au Ndiyo ule msemo wa Wahenga wanasema mchawi hataki kuona mtoto wa jirani anafanikiwa?

Viongozi wa Club wanahusika direct kuhakikisha Simba anapoteza mchezo Muhimu.

Mungu Kibidu amebidua jana🤝🙏
Na wewe umeamini Ili kua ni kwel inafikilisha sana kama wewe ni mtu mzima unafamilia
 
Kiongozi gani wa Serikali amekanusha?Na kuvaa jezi za Berkane na kuchat na wachezaji pia ilikanushwa?
Hayo ya Hersi kuvaa jezi za Kaizer Chiefs wakingojea mechi na Simba pia ilikanushwa?
Kuwapokea Asec ilikanushwa?
Hiyo ni hulka ya uhasidi haiwezi badilika.
Huu ujinga ndio huwa unanifanya niamini hata haya yanayosemwa yanaweza kuwa na ukweli
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Maskini hajajua umequote hivyo kwa sababu gani.Eti ufungue mada kuhusu uchawi!!!
Watu hamna akili mkutano mkuu mna ambiwa group la WhatsApp ni mafanikio mnashangilia sasa hivi mmejazwa Jwaneng walikua Avic mmejaa
 
Yote ni mipango ya Mungu kuufarakanisha utawala wa shetani. Hivi sasa tunavyoongea Jwaneng Galaxy wanaitazama Yanga kwa jicho la tahadhari, maana wamelishwa sumu (kwa madai yao) wakiwa katika mazingira waliyoyaamini kwamba ni mikono salama
Swadakta mkuu
 
Kiongozi gani wa Serikali amekanusha?Na kuvaa jezi za Berkane na kuchat na wachezaji pia ilikanushwa?
Hayo ya Hersi kuvaa jezi za Kaizer Chiefs wakingojea mechi na Simba pia ilikanushwa?
Kuwapokea Asec ilikanushwa?
Hiyo ni hulka ya uhasidi haiwezi badilika.
Sema engineer kuvaa jezi ya kaizer Kuna kaushamba alikaonyesha pale
 
Nawe toa ushuzi wako, hilo hadi viongozi wa Serikali wamelikanusha alafu we mwehu wa nyakatuntu unalikuza bila sababu.
SaSaw
Nawe toa ushuzi wako, hilo hadi viongozi wa Serikali wamelikanusha alafu we mwehu wa nyakatuntu unalikuza bila sababu.
Tatizo ni kwamba hamna akili Yanga walikua wana pata faida gani kwenye hio mechi kiasi kwamba watumie pesa nyingi kiasi hicho kuwa gharamia Jwaneng return yao ilikua ni ipi?
Sababu ya wivu kwa Mnnyama
 
[QUOTE="Kanali kunde, post: 49560801, member:
Nawe toa ushuzi wako, hilo hadi viongozi wa Serikali wamelikanusha alafu we mwehu wa nyakatuntu unalikuza bila sababu.
[/QUOTE]
Neno Ushuzi limekukaa sana kichwani, au break za nyuma zimelegea
 
Mkuu wenye akili ni wawili Yanga, Sunday Manara na Kikwete, hao wengine unaowaona ni wanatumia dozi.
Bora kuna wawili huko wenye akili. Hivi Rage aliondoa watu pale aliposema mashabiki wa upande huo ni mbumbumbu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom