SIMBA- Walimu wanawatesa wanafunzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SIMBA- Walimu wanawatesa wanafunzi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Alexism, Oct 18, 2011.

 1. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Kauli hii imetolewa na waziri Sofia Simba wakati anazindua kitabu kinachoitwa MIMI NI MSICHANA.
  Wakati akiendelea Sofia kasema walimu ni chanzo kikubwa ambacho kinawafanya watoto(wanafunzi) kuacha shule na kuchukia shule kwani walimu wanapiga saana na wakati mwingine bila ruhusa toka kwa mkuu wa shule.
  Je kauli kama hizi zina faida au mathara gani katika tasinia ya Elimu,walimu na wanafunzi?
   
Loading...