Safari bado mnayo wana-Yanga; mlipoona Simba ya Kagame Cup mkafikiri ndo usajiri umeisha! shauri yenu.Hadhi yetu ya africa mashariki na kati endeleeni na makombe yenu ya mbuzi nyie,. Simba mkistukiaga nyingi hamrudingi uwanjani afu zile 3-0 za pale kilumba za bila penat hajaludisha
safari hii yanga tuna watandika kumi..chombo karibu nyumba
''ndomyana'' sijui Manji akigoma mishahara ya kulipa wachezaji wenu itatoka wapi; jamaa kawashika pabaya kwakweli duh.
yangaaaaaaaa imara daima nyuma mwikooooo mliiiona ndoo mjengoni
Namuonea huruma sana ngasa,siku tukiwagalagaza tu,yeye atakuwa mbuzi wa sadaka.Safari bado mnayo wana-Yanga; mlipoona Simba ya Kagame Cup mkafikiri ndo usajiri umeisha! shauri yenu.
''ndomyana'' sijui Manji akigoma mishahara ya kulipa wachezaji wenu itatoka wapi; jamaa kawashika pabaya kwakweli duh.