Simba waendeleza usajili wa kihuni

ndomyana

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
5,471
1,950
Leo kunahabari za kuaminika na kuenea katika vyombo vya habari na kudhibitishwa na yeye redondo ni kusajiliwa kwake na timu ya simba akitokea azam.

Redondo anadaiwa kubakiwa mwaka1 na mkataba wake na azam na simba wamemsajili bila ruhusa ya wao azam.
 
Ni kawaida yao,lkn Azam wamewaambia wawahi mapema kuchukua fuba lao Mil 20 walizomtangulizia out of deal nzima ya 30 Mil vinginevyo wataingia hasara kama waliyoingia kwa Jeba...Rage na Kaburu ni watu wazima sasa hawana budi kuacha mambo ya kihuni
 
ndomyana na Anselm hamtaki??? Kikosi kinasukwa sasa ili kama awali mlilambishwa 5-0 safari ijayo mlambishwe 8-0.

Usajiri wa kihuni kuzidi ule wa kumtorosha Yondani kwenye Kambi ya timu ya Taifa tena usiku!!????
 
Hadhi yetu ya africa mashariki na kati endeleeni na makombe yenu ya mbuzi nyie,. Simba mkistukiaga nyingi hamrudingi uwanjani afu zile 3-0 za pale kilumba za bila penat hajaludisha
 
Rage ndio alipowalogea, jueni ile yanga ya nchunga ya sasa ya bilionea manji tutakusanya ndoo zote mwaka huu, mkinunua penay si tunanunua goli
 
Hadhi yetu ya africa mashariki na kati endeleeni na makombe yenu ya mbuzi nyie,. Simba mkistukiaga nyingi hamrudingi uwanjani afu zile 3-0 za pale kilumba za bila penat hajaludisha
Safari bado mnayo wana-Yanga; mlipoona Simba ya Kagame Cup mkafikiri ndo usajiri umeisha! shauri yenu.
 
Crash vp mkutano wenu wa jana bajet ya penart ni shi ngap mwaka huu??
 
''ndomyana'' sijui Manji akigoma mishahara ya kulipa wachezaji wenu itatoka wapi; jamaa kawashika pabaya kwakweli duh.
 
''ndomyana'' sijui Manji akigoma mishahara ya kulipa wachezaji wenu itatoka wapi; jamaa kawashika pabaya kwakweli duh.

yanga ilizaliwa mwaka1935 Manji kazaliwa 1960's, apo tafakali jibu.

Au tukishindwa kabisa titaombea mchezaji mmoja afe ili tupate rambirambi then tutakula na kitachobaki tunalipa mishahara
 
Ndomyana kwanza wewe sio raia jina tu linakusuta na wenye jina kama lako ni wanyarwanda na kongo, sasa wakongo wanajulikana kwa kuwa tegemezi yan vilaza, na ndomana ukaipenda yanga kwa vile ni vilaza wa manji (tegemezi) kweli nimeamin cku yanga ikishinda gongo, mbege, komoni na tembo zote huisha kwa shangwe, uwezo wa kunywa haineken hamna.
 
Hahahahahahahahahahaha...... Kichenchele wabunge wa viti maalumu wakiongozwa mume wao mteja manji.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom