Simba waende Cas kupinga UWANJA ....

Simba waende Cas kupinga UWANJA ....

UKIKATA TKT nunua na ya KURUDIA

Utalalaa bandarini mpendwa halisio
 
Simba, Simba, hivi Simba ni club ya mpira au chama cha siasa?
 
Uto hii ndo Wiki yenu pekee ya kufurahi na ku post post ujinga , baada ya mechi na Berkane itakuwa baaas kuonana mwakani
 
Al Hilali wamechezea gemu zao Nje ya Nchi watashangaa Simba kupiga kelele na mechi yao inachezwa Tanzania mpaka hapo wameshajifunga wenyewe kwa sababu za hovyo tokea mwanzo..
 
Back
Top Bottom