M mbea sana Member Joined Mar 3, 2012 Posts 12 Reaction score 0 Mar 4, 2012 #1 Acheni kuishangilia hii timu,Mpira wa kibongo uchawi,mmeshinda usiku kucha kupanda mayai visa,simba wachawi,magoli yenu ya kimagilini sana
Acheni kuishangilia hii timu,Mpira wa kibongo uchawi,mmeshinda usiku kucha kupanda mayai visa,simba wachawi,magoli yenu ya kimagilini sana
M mbea sana Member Joined Mar 3, 2012 Posts 12 Reaction score 0 Mar 4, 2012 Thread starter #2 Nimefungua hii account kuwapa umbea wa town,mimi mototo ya mujini,kaeni chonjo
angedizzle JF-Expert Member Joined Aug 8, 2011 Posts 590 Reaction score 506 Mar 4, 2012 #3 mbea sana said: Acheni kuishangilia hii timu,Mpira wa kibongo uchawi,mmeshinda usiku kucha kupanda mayai visa,simba wachawi,magoli yenu ya kimagilini sana Click to expand... ndo upeo wako ulipoishia????
mbea sana said: Acheni kuishangilia hii timu,Mpira wa kibongo uchawi,mmeshinda usiku kucha kupanda mayai visa,simba wachawi,magoli yenu ya kimagilini sana Click to expand... ndo upeo wako ulipoishia????
msafwa93 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 4,840 Reaction score 6,148 Mar 4, 2012 #4 duh.!kweli akili ni nywele kila mtu ana zake..ila we una kipara..
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,268 Mar 5, 2012 #5 Huwezi kumjua mchawi kama na wewe sio MCHAWI
arabianfalcon JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 2,285 Reaction score 585 Mar 5, 2012 #6 mbea sana said: Acheni kuishangilia hii timu,Mpira wa kibongo uchawi,mmeshinda usiku kucha kupanda mayai visa,simba wachawi,magoli yenu ya kimagilini sana Click to expand... Duh,nakuonea huruma kama bado uko kwenye ulimwengu wa watu wanaofikiri hivyo vituko unavyosema.yani umekurupuka huko uje kutueleza hayo nakusikitikia sanaa poleeee!
mbea sana said: Acheni kuishangilia hii timu,Mpira wa kibongo uchawi,mmeshinda usiku kucha kupanda mayai visa,simba wachawi,magoli yenu ya kimagilini sana Click to expand... Duh,nakuonea huruma kama bado uko kwenye ulimwengu wa watu wanaofikiri hivyo vituko unavyosema.yani umekurupuka huko uje kutueleza hayo nakusikitikia sanaa poleeee!
AK-47 JF-Expert Member Joined Nov 12, 2009 Posts 1,373 Reaction score 202 Mar 5, 2012 #7 Acha kuamini imani potofu wewe...Kiyovu wamezidiwa kiwango tu kwa sababu si wakali kihivyo.