Simba wababe Kinshasa, Yanga kuendeleza Ubabe wao kwa rekodi hapo Sokoine vs Mbeya City

Magema Jr

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
1,303
2,000
Baada ya mabingwa wa soka Simba kuwaduwaza makamanda wa Congo AS Vita, kwa ushindi mwembamba na muhimu wa goli moja kwa nunge.

Leo ham ya watanzania wapenda soka,masikio ya wapenzi wakandanda wanasubiri kuona soka safi kutoka kwa wababe wa Ligi kuu VPL Young African.

Mengi yanazungumzwa na presha ya mechi ni kubwa sana mitaani hasa kwa mashabiki wa timu hizi kongwe.

Yote kwa yote tusubiri dk 90' za mwamuzi kuweza kuhakiki semi zetu!

Ft: Young 2 Mbeya City
(Kuna penalty)
Kuna uwezekano wa kama 46% kwa Mbeya City kupata goli.
Yanga kusinda 79%
Mbeya kushinda 18%
Sare 3%

#assalam aleykum
#magema jr
 

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
9,655
2,000
Yanga mwaka huu ni mwendo wa vipigo tu! Kenge au PAKA atakaye jitutumua, basi ataambulia sare. Muda wa kucheka na MAPAKA 🐱 umekwisha!

Na tutachukua Ubingwa wa VPL, pasipo kupoteza hata mechi moja!
 

Kiweriweri

Senior Member
Jan 3, 2012
182
250
Leo ham ya watanzania wapenda soka,masikio ya wapenzi wakandanda wanasubiri kuona soka safi kutoka kwa wababe wa Ligi kuu vpl Young african.
Soka safi? Kwa uto tunachokiona ni soka la mambavu na mibio isiyo na tija ya tk
 

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
8,837
2,000
Hana wakati Simba ilipopata Penalty kuna shabiki mmoja wa utopolo alibana map**bu yake ili Mugalu akose, sasa akaziminya kwa kasi nusura apasue, aligugumia kwa maumivu na game hakuendelea tena kutazama akasepa!

Sasa huyu utopolo aliyeleta uzi wake hapa atakuwa ni miongoni mwa wabana wakidhani inaweza kuwa msaada, mtaishia kuzipasua nyie utopolo!
 

Angel Nylon

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
6,369
2,000
IMG-20210213-WA0002.jpg
 

Magema Jr

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
1,303
2,000
Usichanganye Habari za ligi ya mabingwa na hiyo ligi yenu ya kienyeji....

Mfalme wa nyika aling'ara kwenye ligi ya wanaume....nyie vyura pambana kwanza na wavulana wenzenu huko mbeya...
amakweli shukrani ya punda mateke. Yani ligi ikiyokupeleka huko unakokuita kwa "wanaume" unainanga kiasi hiki??
 

Magema Jr

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
1,303
2,000
Hana wakati Simba ilipopata Penalty kuna shabiki mmoja wa utopolo alibana map**bu yake ili Mugalu akose, sasa akaziminya kwa kasi nusura apasue, aligugumia kwa maumivu na game hakuendelea tena kutazama akasepa!
Sasa huyu utopolo aliyeleta uzi wake hapa atakuwa ni miongoni mwa wabana p**bu wakidhani inaweza kuwa msaada, mtaishia kuzipasua nyie utopolo!
😅😅😅😅 yani mikia bana.. poleni sana
 

Magema Jr

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
1,303
2,000
Yanga mwaka huu ni mwendo wa vipigo tu! Kenge au PAKA atakaye jitutumua, basi ataambulia sare. Muda wa kucheka na MAPAKA 🐱 umekwisha!

Na tutachukua Ubingwa wa VPL, pasipo kupoteza hata mechi moja!
PAKA SASA BAAASI... YANGA DAIMA MBELE!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom