Simba wababe Kinshasa, Yanga kuendeleza Ubabe wao kwa rekodi hapo Sokoine vs Mbeya City

Usichanganye Habari za ligi ya mabingwa na hiyo ligi yenu ya kienyeji....

Mfalme wa nyika aling'ara kwenye ligi ya wanaume....nyie vyura pambana kwanza na wavulana wenzenu huko mbeya...
... Ndugu yangu, ili ushiriki klabu bingwa huna budi kuchukua ubingwa wa ligi unayoita ya "KIENYEJI" au taratibu zimebadilika awamu hii???🤔🤔🤔
 
goli la kupewa ndo unapga kelele hivii??? ama kweli nyani haoni mkundu wake!!!

Kama goli la kupewa kakateni rufaa CAS huko, mtaumia sana!
Halafu ilikuwaje hao Vita wakashindwa kupata nao goli, kama simba ilipewa!?
Mtakoma mwaka huu na utopolo yenu, halafu nikihakikishie Simba kati ya game sita inazotakiwa kucheza game nne lazima izishinde na imeshaanza kampeni, bado tatu ambazo ni kwa mkapa ambapo pale hatoki mtu!
Kamati ya mapokezi mjiandae kupokea wageni wenu wiki ijayo!
 
mikia bila pernaty inawezekana???
 
... Ndugu yangu, ili ushiriki klabu bingwa huna budi kuchukua ubingwa wa ligi unayoita ya "KIENYEJI" au taratibu zimebadilika awamu hii???
We ulivyoshiriki msimu uliopita ulikuwa umeshinda ubingwa wa ligi gani?

Utopolo wahed
 
Back
Top Bottom