Simba wababe Kinshasa, Yanga kuendeleza Ubabe wao kwa rekodi hapo Sokoine vs Mbeya City

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,875
2,000
Magema njoo huku uhitimishe uzi wako!!
Nani kama Yanga? Hongereni sana kwa kutupa burudani Safi huko mbeya! Nawapongeza sana kwa kupata pointi moja!! Mmeonyesha ubabe wa kufa mtu na burudani Safi ya soka, hongereni sana!
 

gachacha

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
2,044
2,000
wababe wako Congo & Angola's wanapambana na kufanyiwa figisu na wanashinda uko, ww unachenza na timu inayo shuka daraja unashona kijora unajiita mbabe
 

Magema Jr

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
1,301
2,000
Magema njoo huku uhitimishe uzi wako!!
Nani kama Yanga? Hongereni sana kwa kutupa burudani Safi huko mbeya! Nawapongeza sana kwa kupata pointi moja!! Mmeonyesha ubabe wa kufa mtu na burudani Safi ya soka, hongereni sana!
😅😅😅😂 poa mkuu
 

Magema Jr

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
1,301
2,000
Hitimisho.
Mimi kama Magema Jr sijawah tabiri nikafeli !!!
Nimetabiri penalty leo imetokea tena!!
Nakushauri endelea kusoma makala zangu kwa tabiri mbalimbali za soka👏👏📣
 

SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
31,597
2,000
Baada ya mabingwa wa soka Simba kuwaduwaza makamanda wa Congo AS Vita, kwa ushindi mwembamba na muhimu wa goli moja kwa nunge.

Leo ham ya watanzania wapenda soka,masikio ya wapenzi wakandanda wanasubiri kuona soka safi kutoka kwa wababe wa Ligi kuu VPL Young African.

Mengi yanazungumzwa na presha ya mechi ni kubwa sana mitaani hasa kwa mashabiki wa timu hizi kongwe.

Yote kwa yote tusubiri dk 90' za mwamuzi kuweza kuhakiki semi zetu!

Ft: Young 2 Mbeya City
(Kuna penalty)
Kuna uwezekano wa kama 46% kwa Mbeya City kupata goli.
Yanga kusinda 79%
Mbeya kushinda 18%
Sare 3%

#assalam aleykum
#magema jr
Yanga imekeketwa live na kudondosha point mbili muhimu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom