Simba vs Yanga: Oct 03, 2012

Ningekuwa na uwezo ningemwambia Niyonzima aende zake Ulaya tu,hapa Yanga wanamzingua tu
 
naona yanga wanaona litaongezwa huku simba wanajua washashinda raha kweli..oaoa
 
Kona ya yanga haijazaa matunda ila wanafanya mashambulizi mazuri, simba wameanza kuzidiwa
 
Mashabiki wa simba tupige magoti tuanze kuiombea tim yetu kwa kuwa upepo sio mzuri kwetu wachezaji wetu wanajiangusha bila mpango. Yanga wamemuingiza kiiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…