Simba Vs Yanga kesho tujadili!!!

Status
Not open for further replies.
Asante mwanahistoria... sasa baada ya historia fupi ya timu zote, nani atashinda?:p

Historia inasema Yanga ya Tanzania haijawahi kufungwa na Simba ya Ilala ktk uwanja wa mpya wa taifa.
Hivyo mi nadhani historia itasimama kama ilivyo more than 10 yrs.....mpo?
 
Historia inasema Yanga ya Manji na mafisadi wenzake haijawahi kuifunga Simba ya msimbazi kwa miaka kadhaa sasa ktk uwanja wowote ule.
Hivyo mi nadhani historia itasimama kama ilivyo more than 10 yrs.....mpo?

:p:p:p hahaaaaa
 
Historia inasema Yanga ya Tanzania haijawahi kufungwa na Simba ya Ilala ktk uwanja wa mpya wa taifa.
Hivyo mi nadhani historia itasimama kama ilivyo more than 10 yrs.....mpo?

Hizi data unazitoa wapi wewe? Au unazi tu?
 
Sitakimbia mpwa, mi mvumilivu. Huyo shemeji yake masanilo naye amekuwa sheikh yahya siku hizi?

Hahaha yeah anajua pambano litakavyo kuwa tayari mpaka sasa tumeshinda.

"Tukiingia tu uwanjani tutashinda goli moja dakika za mwanzo na kipindi cha pili tena tutashinda la pili dakika za mwanzo halafu basi na matokeo ndio yatakuwa hivyo dakika tisini," alisema Papic huku akionyesha uchangamfu na akiwa mwenye hamu kubwa ya mchezo.

Umeona nae Bill Clinton alivyo kutabili hahaha mm roho kwatu kabla ya kuzama uwanjani nahakikisha nimepiga Konyagi mzinga mmoja ili niwe na mizuka vp utakuja uwanjani au wewe ni wale wale wa kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Yanga ilianzishwa mwaka 1935 chini ya wazalendo halisi wapaa samaki na wafua nazi waliokuwa wakijikusanya mida ya jioni na kuanzisha harakati za kudai uhuru.
Hivyo unavyoizungumzia Yanga unatakiwa usimame kabla kwa dk moja kisha uendelee.
Na unapozungumzia uhuru wa taifa basi usisite kuitaja Yanga kwa namna moja ama nyingine.

Ukija kwa upande wa simba...timu hii ilianzishwa na wakoloni wa kiarabu waliokuwa wakishinda kutwa nzima na misuli viunoni huku wakiwatesa babu zetu.
na ndio maana wana tabia zote za kiarabu kwani mpk leo hawana hata uwanja wa mazoezi wanadandiadandia tu kama waarabu wanavyodandia magorofa ya msajili.
Sforza Yanga
wewe leo utabaki mdomo wazi na historia zako...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom