Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Sep 12, 2014 #21 The Magnificent said: updates wakuu...Okwi vipi,kaanza au Click to expand... Huyu Okwi amekuwa ka mungu kadogo, kila mwaka lazima afunike, mwaka kesho ataibukua Azam.
The Magnificent said: updates wakuu...Okwi vipi,kaanza au Click to expand... Huyu Okwi amekuwa ka mungu kadogo, kila mwaka lazima afunike, mwaka kesho ataibukua Azam.
muhidini rweyemamu Member Joined Jul 24, 2012 Posts 30 Reaction score 8 Sep 12, 2014 #22 jamani mlioko uwanja wa taifa vp au bado hakuna jipya?
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Sep 12, 2014 #23 muhidini rweyemamu said: jamani mlioko uwanja wa taifa vp au bado hakuna jipya? Click to expand... Tulia Mkuu, ukiona kimya jibu unalo. Mambo yakibadilika watatupia tu. Nasikia Azam II wanaonesha Live, fuatilia huko kama una king'amuzi chao.
muhidini rweyemamu said: jamani mlioko uwanja wa taifa vp au bado hakuna jipya? Click to expand... Tulia Mkuu, ukiona kimya jibu unalo. Mambo yakibadilika watatupia tu. Nasikia Azam II wanaonesha Live, fuatilia huko kama una king'amuzi chao.
O osokonoi JF-Expert Member Joined Dec 18, 2008 Posts 1,246 Reaction score 399 Sep 12, 2014 #24 The Magnificent said: updates wakuu...Okwi vipi,kaanza au Click to expand... Ah...The Maganificent kumbe tupo wote mpaka huku...saaaafi sanaaaa
The Magnificent said: updates wakuu...Okwi vipi,kaanza au Click to expand... Ah...The Maganificent kumbe tupo wote mpaka huku...saaaafi sanaaaa
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Sep 12, 2014 #25 Leo ni majanga tupu.
The Magnificent JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 2,694 Reaction score 1,250 Sep 12, 2014 #26 osokonoi said: Ah...The Maganificent kumbe tupo wote mpaka huku...saaaafi sanaaaa Click to expand... teh teh teh teh...ndugu yangu osokonoi,mimi ni mtu wa RED tu..nina aleji na njano kabisaaa hopeful hata kwenye siasa wote tupo CHADEMA hahahahahaha! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
osokonoi said: Ah...The Maganificent kumbe tupo wote mpaka huku...saaaafi sanaaaa Click to expand... teh teh teh teh...ndugu yangu osokonoi,mimi ni mtu wa RED tu..nina aleji na njano kabisaaa hopeful hata kwenye siasa wote tupo CHADEMA hahahahahaha!
The Magnificent JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 2,694 Reaction score 1,250 Sep 12, 2014 #27 Makoye Matale said: Leo ni majanga tupu. Click to expand... washatuchapa tayari nini...funguka
sembo JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 4,350 Reaction score 3,451 Sep 12, 2014 #28 Makoye Matale said: Huyu Okwi amekuwa ka mungu kadogo, kila mwaka lazima afunike, mwaka kesho ataibukua Azam. Click to expand... Baada ya kushinda ile kesi, amesaini mkataba wa miaka miwili, sasa msimu ujao ataendaje Azam? Huyu ni wahapahapa.
Makoye Matale said: Huyu Okwi amekuwa ka mungu kadogo, kila mwaka lazima afunike, mwaka kesho ataibukua Azam. Click to expand... Baada ya kushinda ile kesi, amesaini mkataba wa miaka miwili, sasa msimu ujao ataendaje Azam? Huyu ni wahapahapa.
M Michael Mwakyusa JF-Expert Member Joined Mar 18, 2012 Posts 306 Reaction score 55 Sep 12, 2014 #29 ura wanapata gori.
mangimeza Senior Member Joined May 13, 2011 Posts 190 Reaction score 98 Sep 12, 2014 #30 Michael Mwakyusa said: ura wanapata gori. Click to expand... Manji ajiuzulu yanga
la cezz JF-Expert Member Joined Oct 4, 2013 Posts 314 Reaction score 267 Sep 12, 2014 #31 Simba 0 : 1 URA
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Sep 12, 2014 #33 sembo said: Baada ya kushinda ile kesi, amesaini mkataba wa miaka miwili, sasa msimu ujao ataendaje Azam? Huyu ni wahapahapa. Click to expand... Huwa hafuati mkataba huyo, Uarabuni kaondoka akiwa na mkataba, Yanga kaondoka akiwa na mkataba sembuse wachovu Simba! Azam wakijipendekeza atapoketi chake kama kawaida. Namshauri awe anatembea na mavazi ya bullet proof.
sembo said: Baada ya kushinda ile kesi, amesaini mkataba wa miaka miwili, sasa msimu ujao ataendaje Azam? Huyu ni wahapahapa. Click to expand... Huwa hafuati mkataba huyo, Uarabuni kaondoka akiwa na mkataba, Yanga kaondoka akiwa na mkataba sembuse wachovu Simba! Azam wakijipendekeza atapoketi chake kama kawaida. Namshauri awe anatembea na mavazi ya bullet proof.
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Sep 12, 2014 #34 la cezz said: Simba 0 : 1 URA Click to expand... Haki ya nani? Au unatania Mkuu!
N nyakiman Member Joined May 1, 2014 Posts 23 Reaction score 0 Sep 12, 2014 #35 la cezz said: simba 0 : 1 ura Click to expand... dakika ya ngap? Kiwango vp?
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Sep 12, 2014 #36 Simba 2 na URA 1 dakika ya 78
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Sep 12, 2014 #37 la cezz said: Simba 0 : 1 URA Click to expand... Yaallah! Mbona mnatuchanganya?
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Sep 12, 2014 #38 Crashwise said: Simba 2 na URA 1 dakika ya 78 Click to expand... Jambo afande?
N nyakiman Member Joined May 1, 2014 Posts 23 Reaction score 0 Sep 12, 2014 #39 makoye matale said: jambo afande? Click to expand... aman sana mnyama, kafunga nan?
The Magnificent JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 2,694 Reaction score 1,250 Sep 12, 2014 #40 Crashwise said: Simba 2 na URA 1 dakika ya 78 Click to expand... Majina ya wafungaji wetu tafadhali.