Simba vs Tiger

Tiger au Chui milia ndio anaowawinda Nile clocodille wale mamba hatari zaidi, Na anamtoa kwenye maji tayari kuwa kitoweo.
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbwa mwitu sio paka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tiger au Chui milia ndio anaowawinda Nile clocodille wale mamba hatari zaidi, Na anamtoa kwenye maji tayari kuwa kitoweo.
View attachment 1433000

Sent using Jamii Forums mobile app
Badamu bamemwagika. Lilikua ni pambano la kiume hasa. Hawa viumbe wananguvu almost sawa kila mmoja akiwa na advantages na disadvantages zake. Ila tiger ni mwepesi sio kwa kilo bali kunyumbulika(flexibility) kuliko simba
 
Jua kitu kimoja tu adimba haogopi na hachagui pambano .
Chui milia anapima upepo ndio maana simba akaitwa mfalme yaaninkwke ni do or die wakat tiger ni do or run.
Ila pound for pound lion has no chance with tiger apart from being fearless
 
Kingine tiger ana agility yabkama paka wa nyumbani ni faida kwake
 


Tulia hivyo hivyo dawa ikuingie..
 
eti kupigwa mashine

Tulia hivyo hivyo dawa ikuingie..
 
Nice
 
Tiger sio chui mkuu
 
Hapana mkuu, simba wameumbwa kupigana (warrior cat) na tiger ameumbwa kuua (killer cats).
Hiko hivi wakikutana mbugani Kati ya simba na tiger, tiger ni mnyama wenye madharau atakimbia na kuondoka.
Lakini ikitokea wakifungiwa kwenye cage sioni nafasi ya simba kuchomoka. Tiger anazo advantage nyingi sana kuliko simba, unaambiwa kofi moja la tiger lina KG 80.
 
Nakurekebisha ,kiboko(hippopotamus) ndiye mnyama mwenye mng'ato wenye nguvu zaidi duniani (strongest bite on earth).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Big up
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…