Simba vs Tiger

apoo nmekuelewa boss ..thnks kwa knowledge mpya
 
Kuna kipindi niliwahi kwenda loliondo na dingi sasa,tukiwa njiani kama mita 30 au 50 basi tukaona mti una anguka aise,gari ikasimamishwa.....mkono ulikuwa unaendelea kati ya nyati na simba dume wa wawili

Haikuwa kipolepole ulipigwa mkono wa haja nyati kumbe ni balaa akikasirika kama machozi ya damu yana mtiririka hivi mwisho wa pambano simba wote walikufa pale pale mbavu zao zilisagwa sagwa kabisa ila nyati aalivunjika miguubya nyuma yote na juu ya nundu hapo alikuwa ana bonge la shimo!!ila bado maafisa wanyapori walitutaadharisha kuwa huyo bado ni hatari mpaka walipo muua!

N:b kwa mara ya kwanza na kula nyama ya porini ila nyati siyo mtamu kama pofu nilikula pofu nikasema hakika kuku ni jina hata kitimoto haingi ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa alikataa hili. Kuna mwamba wa TANAPA alisema Leopard wa Africa anamburuza Tiger watu wakabisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa alikataa hili. Kuna mwamba wa TANAPA alisema Leopard wa Africa anamburuza Tiger watu wakabisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nipo mbugani, msala wa wanyama wa African usikie tuuuu, tatizo la watu wengi wabishaji wanaishia kwy Mbuga ya YouTube. Sasa huyo mtu unamuacha kama alivyo na uwezi kujua nguvu ya simba kwy cage akipigana simba akiwa msituni anapambana ndio utajua nguvu yake kama ni kwy yale majani yanalala yote na miti inaanguka. Dume la simba akiwa anamuangusha nyati yaani sio mchezo. Huyo Africa Leopards balaaa lake sio mchezo fisi wanamuogopa kama nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa ndo umepata kazi? Mbona tanapa imekuwa tanapa kila post? We unahisi wote wanaosema tiger ni zaidi ya simba hamna anaefanya kazi tanapa au kazi za mbugani? Kwanini unaamini kila asie share uelewa sawa na wewe taarifa kazipatia YouTube? Na after all kwani video zinazokua uploaded YouTube source yake ni wapi, sio huko huko maporini na kwenye zoo wanyama waliko? Au kila anaejua taarifa za wanyama lazima awe alienda porini?
Si watalii, wafanyakazi na watengeneza film na makala za wanyama si ndo wanaweka hizi video mitandaoni na dunia nzima inaona! Punguza matangazo maana hata Kijazi sidhani kama anajitangaza hivi.

Kwa taarifa tu ni kwamba India wanaweza kuwa na taarifa zaidi juu ya hili maana ndo nchi pekee yenya hawa wanyama wote maporini wakiwa na Asiatic lion na Bengal tiger. Sio wewe unashupaza shingo kuwaongelea tiger wakati hamna pori la tanapa lenye tiger hata mmoja
 
Kuna jamaa ameweka video hapo juu kati ya Simba na Tiger, ina maneno ya kiarabu itatute. Ni aibu tupu kwa Tiger.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kama umepanic mkuu😁
 
kimbe mazingira yanaweza changia mood ya mnyama.

kama tiger analeta shida kwa simba akiwa yupo huko kwao,vipu angekuwa anapatikana africa???

simba ana wababe wake kibao tu anawagwaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio. sio vita vyote vya wanyama wa jamii zinazofanana zinakua vita za kufa na kupona.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…