Chezea Simba weyeeeeeeeeee?? Chezea KANDAMBILI Chama la Mabondia,Usishike Sharubu!! Cheza na Ugali wako Usichezee Simba!! Okwi kama Van Persieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!
Hilo bao la mita 25 refa hawezi kulikataa kwa kizingizio chochote. Kudos wana Msimbazi!
Hata hivyo Juma Nyoso asiachwe hivi hivi bila adhabu ili kujenga nidhamu ya timu.
Kweli huyo jamaa halafu yuko kwenye Timu ya Taifa. Ila ukiangalia utaona yule mwarabu alikuwa anakitafuta kiwiko mana alikuwa kamsogelea kifitina hivi. Lakini kwa vyovyote vile Nyosa alipaswa kuwa mpole. Tungetolewa hivi hivi kwa kosa lisilo na maana.
Hongereni sana wachezaji, viongozi, wanachama na wapenzi wote wa club ya Simba. Tunawatakia maandalizi mema kwa hatua inayofuata...msibweteke, mechi ya leo ni fundisho tosha kwenu.