rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 15,245
- 20,256
Kakolanya, Kapombe, Shabalala, Wawa, Onyango, Mkude, Kahata, Mzamiru, Ajibu, Bwalya luis,
1600Oyaa nisaa ngapi???
Manulaebu niwekee hapa nione kapangaje kikosi cha leo
Hapo Ajib na kahata wote wanampira wa Aina moja na sio wa kwenda mbeleManula
Kapombe
Mohamed
Onyango
Wawa
Mkude
Louis
Yassin
Ajib
Bwalya
Kahata
Kuna mshambuliaji hapo km ushindi ni goli moja tu tena kwa taabu litapatikana vinginevyo Simba analia
Edit hapo kwa manula mkuu, leo ni kakolanyaManula
Kapombe
Mohamed
Onyango
Wawa
Mkude
Louis
Yassin
Ajib
Bwalya
Kahata
Kuna mshambuliaji hapo km ushindi ni goli moja tu tena kwa taabu litapatikana vinginevyo Simba analia
Simba wameanza kuzingua inaelekea hawapati mshahara, wameruhusu bao la makusudi kabisa, matimu ya bongo bwana
Hamna makusudi pale mkuu, sema madogo wamefanya shambulio la maana.Simba wameanza kuzingua inaelekea hawapati mshahara, wameruhusu bao la makusudi kabisa, matimu ya bongo bwana
Sure asanteEdit hapo kwa manula mkuu, leo ni kakolanya
Safi Ruvu habari njema hii, kauli za mpira dakika 90 usiziogope Bali waongeze kwenye dakika hizo 90
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Hapo ndio shida kuna wachezaji watatu ni mzigo hapo Ajib na kahata style moja huku muzamiru ball control mbovu sana anapoteza sana mpira kiasi anakosa msaadaHamna makusudi pale mkuu, sema madogo wamefanya shambulio la maana.
Btw sielewi timu haina mshambuliaji halafu naona Bocco yuko list ya sub