Simba Vs Ruvu Shooting: Tutegemee soka na matokeo ya aina gani?

ebu niwekee hapa nione kapangaje kikosi cha leo
Manula
Kapombe
Mohamed
Onyango
Wawa
Mkude
Louis
Yassin
Ajib
Bwalya
Kahata

Kuna mshambuliaji hapo km ushindi ni goli moja tu tena kwa taabu litapatikana vinginevyo Simba analia
 
Manula
Kapombe
Mohamed
Onyango
Wawa
Mkude
Louis
Yassin
Ajib
Bwalya
Kahata

Kuna mshambuliaji hapo km ushindi ni goli moja tu tena kwa taabu litapatikana vinginevyo Simba analia
Hapo Ajib na kahata wote wanampira wa Aina moja na sio wa kwenda mbele
 
Manula
Kapombe
Mohamed
Onyango
Wawa
Mkude
Louis
Yassin
Ajib
Bwalya
Kahata

Kuna mshambuliaji hapo km ushindi ni goli moja tu tena kwa taabu litapatikana vinginevyo Simba analia
Edit hapo kwa manula mkuu, leo ni kakolanya
 
Back
Top Bottom