Simba Vs Ruvu Shooting: Tutegemee soka na matokeo ya aina gani?

Simba hawawezi kukubali kupoteza Point nyumbani Kwa timu Kama Ruvu,hasa wakizingatia wametoka kupoteza mechi iliyopita.
Ruvu shooting wanaongozwa na Mkwasa,ambaye kivyovyote vile akipata point mbele ya Simba atakuwa na furaha mara mbili(hili halihitaji maswali mengi).lolote linaweza kutokea,ingawa natamani na leo wapigwe.
Ndo washadundwa ivoo!!
 
Jana nimebeba udongo ukaombewa kuanzia Leo maadui ZAKO watapigwa na kuchanwa chanwa naona RUVU Walikuwa na mm Kwa Mwamposa

Hapoosijatunmiaa mafutaaa
 
Pila Mihogo na maghimbi
Simba hoyeeeee
Mo hoyeeeee
Billion 20 hoyeeee
Morison hoyeeee
Kikosi kipana hoyeeee
 
Simba hawawezi kukubali kupoteza Point nyumbani Kwa timu Kama Ruvu,hasa wakizingatia wametoka kupoteza mechi iliyopita.
Ruvu shooting wanaongozwa na Mkwasa,ambaye kivyovyote vile akipata point mbele ya Simba atakuwa na furaha mara mbili(hili halihitaji maswali mengi).lolote linaweza kutokea,ingawa natamani na leo wapigwe.
Hivi ratiba ya Simba kabla hajacheza na Yanga ikoje!?
 
Na wqo Simba watazuga wana pressure ya uchaguzi
Aisee
tapatalk_1603655044603.jpeg
 
Wengi hawauoni ubovu wa zimbwe ila tukienda ligi ya mabingwa ndio tutaona. Anapenda kukaa na mpira muda mrefu, analazimisha kupiga chenga wakati hajui, anapenda kushambulia lakini harudi haraka anatoa pasi boko
Naona leo mmeamua kugunguka mmeacha kudanganywa na manara sasa
 
Back
Top Bottom