Simba Vs Ruvu Shooting: Tutegemee soka na matokeo ya aina gani?

Aliongea Dr Kigwangala,akaoga matusi kama yote... Mo anaendesha ssc kama familia yake...mkafukuza mtendaji mkuu....akaajiri h/g wake
 
Ruvu shooting wanacheza mpira wa ridhaa waslahi yao ni kiduchu kabisa zaidi ya kununuliwa chakula siku ya mechi eti ndo mpaka dakika ya 60 Simba haijasawazisha bao moja timu inayolipwa vizuri wachezaji wanalala pazuri nani atavumilia upuuzi huu Simba kufungwa mala mbili mfululizo na vibonde tena na mechi ya Nyumbani? Hakika something wrong somewhre.
Kuna nn mkuu,kumetokea nn kwan?
 
Shadeeya kile kikosi kipana kinazidi kupanuliwa huku
Hahahahaaa. Na mzee wa mpapaso anauliza huku. 😂😂
20201027_052357.jpg
 
Back
Top Bottom