Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 48,329
- 115,336
Yah. Kama hiki cha Lipuli nacho si haba Mtani.hahaha afu nilitaka kukutagi mapema, et tuna viporo vigumu kweli jirani?
Mnaeza pata matokeo ila mkayapata kwa tabu sana.
Yah. Kama hiki cha Lipuli nacho si haba Mtani.hahaha afu nilitaka kukutagi mapema, et tuna viporo vigumu kweli jirani?
Basi simba watume mpesa wachukue tu kombe lao, maana ishaonekana wazi hakuna club yenye kumzidi simba kifedha
Sent using unknown device
Nikiwa mimi hapa mmoja wapo nae wakeraIla kuna kadharau fulani wachrzaji wa simba hukaleta
Mie nlhunikera sana
Yotr na yote Ushindi kwa Simba ni muhim sana
Tulinunua na ile mechi tuliocheza tarehe 16 siyo?Achukue mara ngap..? Wanakamilisha ratiba tu mikia wamenunua marefa,timu pinzani n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulinunua na ile mechi tuliocheza tarehe 16 siyo?Achukue mara ngap..? Wanakamilisha ratiba tu mikia wamenunua marefa,timu pinzani n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesho mkuu.Hiyo inachezwa lini?
Pia na wakumbusha all
Kesho mkuu.
Simba hatuna historia ya kumpiga Lipuli Fc , Ila kama historia inacheza basi Lipuli asilete timu uwanjani ..
Simba nguvu moja
Nilikuwa najua ni 26, sasa nilivyoona huu uzi wa Mabingwa nikajua nimechanganya tarehe.
Mmh.
neno "mabingwa" ndo limekubamba mtaniMmh.
Hivi Mtani kwa kikosi hiki kipana kwa nini wasitupangie viporo vyetu kila baada ya siku mbili tukamalizana navyo?
neno "mabingwa" ndo limekubamba mtani
Kagera kwao, msimu ulioisha tulimpga 2 bilaBado mtibwa na kagera sugar.hizi timu huwa ni mwiba Kwa simba.hasa kagera sugar akiwa kwao huko kaitaba
Sent using Jamii Forums mobile app
haha tumekuwa wabwatukaji wazuri kama masau bwire na manara; ushindi mtamu mtaniLimenibamba wapi Mtani. Limenshangaza tu mie.
Maana mnajua kujitapa nyieee.
na msimu huu hayupo vizuri yupo mkiani uko Ana burazana na kina biashara
Hahaaaa. Nimecheka kwa sauti Mtani.
Mnakawia kulalama basi kwamba wachezaji wana uchovu. Muchezage hivyo hivyo kwa siku zilizopangwa ili mkose sababu hasa pale mtakapokaziwa na kukosa matokeo.