Simba vs Libolo -LIVE UPDATES

Simba vs Libolo -LIVE UPDATES

Status
Not open for further replies.

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
Wadau tupeane updates leo,mechi inaanza saa9 .Ni mechi ya marudiano itakayofanyika Angola home kwa LIBOlO...KARIBUNI
 
mkuu unamaanisha saa tisa alasiri au saa tatu usiku
 
Wadau tupeane updates
leo,mechi inaanza saa9 .Ni mechi ya marudiano itakayofanyika Angola home
kwa LIBOlO...KARIBUNI

simba inateswa na jina la liboro. yaani ni kama vile unaenda chooni ukajisaidia choo kigumu. lazma ugune ...iiiihiiiiiiiiiïiiiïiiï...hiiii...jina gumu sana kama haja kubwa
 
Wadau tupeane updates leo,mechi inaanza saa9 .Ni mechi ya marudiano itakayofanyika Angola home kwa LIBOlO...KARIBUNI

Mie nilijuwa upo Angola unashuhudia jinsi Libolo linavyoinanilihii Simba kumbe upo hap hapa bongo bhana! sasa hizo updates tutazipata wapi kama sio kuendelea tu kupiga soga hapa??
 
simba inateswa na jina la liboro. yaani ni kama vile unaenda chooni ukajisaidia choo kigumu. lazma ugune ...iiiihiiiiiiiiiïiiiïiiï...hiiii...jina gumu sana kama haja kubwa

Mkuu kama Simba watawatoa LIBOLO basi watakutana na FC Chipumbu ya Msumbiji hivyo kazi bado wanayo.
 
Ahahahahahahah..Mmmmh bora liishe hapo hapo kwenye libolo sasa likiingia mpaka chipumbu simba watatolewa kizazi sasa.
 
mwenye twitter account ya simba anipe nifuatilie.......vipi TBC wataonesha live?
 
Mechi ni saa 11 jioni wakuu,na hata ya azam muda ni huohuo,BUT ya azam itaoneshwa na star tv.
 
Simba wameenda kulikalia libolo huko angolam

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
simba hawana facebook account ili tufuatilie kama yanga
 
Mie nilijuwa upo Angola unashuhudia jinsi Libolo linavyoinanilihii Simba kumbe upo hap hapa bongo bhana! sasa hizo updates tutazipata wapi kama sio kuendelea tu kupiga soga hapa??

Mkuu, hii thread naamini itatoa matokeo kwa kuzingatia kuwa sasa hivi kuna vyanzo vingi vya habari. Yeyote atakazepata matokeo, atujulishe pia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom