Mkuu hawa jamaa mwaka jana ndiyo walio tunyima ubingwa na ilikuwa mechi za mwisho wisho hivi tuka toka sare ya 2-2 huku wachezaji wao wawili wakipewa kadi nyekundu....
Shija mkina mchezaji wa simba aliepelekwa kagera kwa mkopo....
Hapo tayari ni Simba kamchapa Yanga!
TBC-inatangaza akina Enock Bwigane, Jesse John na Chacha MagangaJamani kuna radio inatangaza, mnifahamishe
Yes nakumbuka mkuu huku yebo yebo wakiachiwa na wototo wao magoli mengi na kuchukua ubingwa haki ya Mungu iliniuma sana mwaka huu tusifanye uppuzi kama ule
Rufaa imeishatupiliwa mbali, ilikuwa haina mashiko. Msimu uliopita Yanga walichukua Ubingwa kwa mbeleko ya Toto na msimu mbeleko imechakaa.Hivi rufaa yao imesha tupiliwa rasmi maana jana nilisikia tetesi kuwa imetupwa...