Simba vs Azam leo hapatoshi

Mkuu tuhabarishe basi wengine tupo huku udhaifuni, hakuna kiss wala denda FM lol..

mcha toka azam anaipatia azam goli la pili so Azam 2 - 1simba..

Updates
simba wanapata penati..
 
mwinyi kazimoto kasawazishia simba magoli ni 2 - 2
 
soma hapo juu, au refresh page kila mara utaona updates kutoka kwa wadau...
 
sasa unataka yakitokea madhambi refa awapeleke Mabwepande au ? Mbona hata arsenal wanapewaga matuta kibao hata wakijirusha tuu !!

kama kawaida wazee wa penart, azam wangalieni hao hawachelewi kupewa penart3
 
sasa unataka yakitokea madhambi refa awapeleke Mabwepande au ? Mbona hata arsenal wanapewaga matuta kibao hata wakijirusha tuu !!

hiyo asernal labda ya kwako mtaani kwenu au ulitaka useme man u
 
kaangalie data then uje umwage humu badala ya hizi chibuku....timu gani ilipewa matuta mengi kwa kujirusha akina Van pusi, Fabrigas enzi zake ect !

hiyo asernal labda ya kwako mtaani kwenu au ulitaka useme man u
 
simba wanapata tokea kwa kazimoto azam hamisi mcha amepata penati ni 1 kwa 1
 
Kaseja kapangua tuta la mwisho! Hongera sana Simba!
 
azam tumepata penati 1 kwa 4 na simba wamepata 3 kwa 4 viva la azam fc
 
welldone simba .......azam mkwende mkale icecream huko.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…