Simba v Ruvu Shooting - May 05, 2013

Simba v Ruvu Shooting - May 05, 2013

Makoye Matale

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2011
Posts
6,490
Reaction score
2,104
Simba wanakipiga na Ruvu Shooting. Dk. 14 Amri Kiemba kapiga shuti lililotinga wavuni moja kwa moja hivyo Simba 1-0 Ruvu Shooting.
 
Asante mkuu, naomba uzidi kutuletea update, hapa nilipo TBC Taifa imegoma kuplay online kwa hiyo nakutegemea sana.
 
Asante mkuu, naomba uzidi kutuletea update, hapa nilipo TBC Taifa imegoma kuplay online kwa hiyo nakutegemea sana.

Usijali Mkuu, nimesaini auti kwenye ishu ya Arusha naona ban iko nje nje tu, kuna watu wanaposti kichefuchefu.

Bado Simba 1-0 Ruvu Shooting.
 
Simba leo wanashambulia kusaka nafasi ya tatu. Lango la Ruvu Shooting liko matatani hata hivyo matokeo bado 1-0.
 
Hawa Ruvu shooting inabidi tuwape kibano cha kutosha ili turejeshe heshima iliyoanza kupotea.
 
Simba leo wanashambulia kusaka nafasi ya tatu. Lango la Ruvu Shooting liko matatani hata hivyo matokeo bado 1-0.

Unajua nilishasahau kama ligi ya Tz bado inaendelea, kwani nafasi ya tatu ina umuhimu gani kwenye ligi yetu?
 
Unajua nilishasahau kama ligi ya Tz bado inaendelea, kwani nafasi ya tatu ina umuhimu gani kwenye ligi yetu?[/Q
Kuna zawadi, hata kama kusingekuwa na zawadi bado nafasi ya tatu sio sawa ya nne, huwezi jua Azam au Yanga wanaweza wakafulia na sisi tukapata nafasi mojawapo ya kuwakilisha nchi.
 
Licha ya zawadi au kusubiri Azam au Yanga afulie, heshima ni muhimu. Sunzu kapigwa yellow card. Half time bado 1-0.
 
Tafadhali mkuu, naomba uniwekee hapa account zao zinasomaje sa hivi ili tujue kweli kama ni matajiri respectively kama ulivyosema.

Ha ha ha haaa, A/c za nini kaka wakati vitendo vinaongea? Kwanza ndio club pekee zinazomiliki viwanja japo nanyi mnacho kile cha kuazima pale Kinesi, pili tunauwezo wa kusajiri au kuzuia usajiri wa mchezaji yoyote tumtakaye rejea usajiri wa Twite na Ngassa mpaka maharage yenu yakamwaga machozi. Chezea Yanga wewe?
 
Back
Top Bottom