Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
Jamani Simba wamekuja na staili mpya
yaani ukivurunda tu mechi moja unapelekwa timu B
SIELEWI SANA MAANA YA FALSAFA HII, ilianzia mwaka jana wakati wa Juma Nyosso na naona Kibadeni ameiendeleza..mwaka/msimu huu tayari wachezaji Redondo, Henry Joseph, Humud na Chanongo wameshapelekwa timu B ETI WAKAPANDISHE KIWANGO?

- Hivi hii ndiyo suluhisho la mchezaji kufanya vizuri?
- Ni nani anayesababisha mchezaji kushuka kiwango/kupanda kiwango? (mfano mechi ya Simba na Ruvu, Kibadeni alimwambia Mwombeki; Straika gani hupigi hata shuti moja golini?) nani wa kulaumiwa?
- Hivi ukimpeleka mchezaji timu B unatazamia aopandishe kiwango au akishushe zaidi?
- Kibadeni sikumsikia akifanya haya alipokua Kagera Sugar
- Hadi kufikia mwosho wa msimu wakiboronga wote itakuwaje?
- Hivi Ligi za wenzetu kuna haya pia kama ya Simba? (of course nakumbuka ilimkuta Esien Chelsea nadhani but kwa simba ni three much)
- Tutafika?