Simba tumesahau Ile kauli mbiu " UBUNTU BOTHO"

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,827
Reaction score
39,741
Ukiuwa Kwa upanga utakufa Kwa upanga,

Wanasimba waliongoza kununua jezi za Mamelod Sundown mwaka Jana na walizivaa hazwa

Leo wanalilia support ya Yanga ila mwaka walishangilia na kuwa follow Mamelod, hadi wao wakashangaa

Wanasimba waliwaimba Kwa majina akina na Peter Shalulile, Mokoina, modiba,mudau, aliende , Ribeiro n k

Leo CEO Zubeda anaropoka tu

Tuko na Al Masry wapige kwenye mshono
 
Nani kakuomba sapoti hebu kanywe supu huko mmeshinda kwa kishindo ushindi mnene leo pale Kmc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…