Ukiachana na wale ambao ni Team Kamati ya roho mbaya, kila shabiki wa soka Tanzania anajua kwamba timu ya Simba kwa mwaka 2023 ndiyo timu bora Tanzania!!
Bila Simba, Tanzania leo hii tusingekuwa na uwakilishi wowote katika mashindano makubwa zaidi ya vilabu Afrika.
Tusingekuwa na uwakilishi kwenye Champions League toka mwaka jana mwezi wa Octoba, karibu miezi 6 iliyopita. Imagine Tanzania tusiwe na Ubalozi UN au AU kwa miezi 6.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.