Simba (Tanzania) vs Ahli Shandy (Sudan)

St Ivuga uko wapi? Umeshafika Heglig saa hizi? Naona uko njiani kuelekea Khartoum na kesho utawasili Shandy!
huyo ni mjinga mmoja eti alitabiri hayo matokeo ndio maana nimemkumbusha na akae mbaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
mbona unaleta tabia ya TUNTEMENKE.

simba hakika mmenikuna sana....kama Arsenal vile tup tup tup...gonga kama za barca....Big up mnyamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hongera sana SIMBA, You derserve it, juhudi zenu tumeziona uwanjani.

Mje mtupe raha na siku ya Yanga, ikiwezekana wapigeni hata 6 hivi yuchukue ubingwa huku tukiwa tunaendelea kung'ara kinataifa.

Bravo SIMBA SC
 
Mkuu unachosema ni kweli kabisa, nilichokukumbusha mimi ni kwamba Mnyama akipita hapa hatacheza kwenye makundi moja kwa moja badala yake atacheza losers kwenye ligi ya mabingwa, nikakupa na mfano mwaka jana Simba alifika hatua ya tatu ligi ya mabingwa, hatua ya kwanza alicheza na timu ya ushelisheli kama sikosei akaitoa akacheza na tp mazembe hatua ya pili akatolewa lakini tp mazembe alikuwa disqualified ndipo simba akafika hatua ya tatu na alicheza na wydad mechi moja ilipigwa Egypt, simba akatolewa ndo akaangukia kwenye kombe la caf akacheza na dc motema pembe, labda nikuulize alicheza na wydad mashindano gani na akacheza na dc motema pembe mashindano gani?
 
ni kweli kabisa usemayo masuke, simba anatakiwa akishinda acheze na loser wa champr league

 

Hongera Simba, Hongera wanazi wote wa Simba!

SIMBA Hoyeeeeeeeeee......!!!!!!!!!!!!
 
Al Ahly timu piga simba bao 8 bila.Salamu ziwafikie Ismail Aden Rage na wachukia simba wote.Mungu ibariki Al ahly.

Dua yako haikukubaliwa! Siku nyingine usisimame na vibonde, mkipigwa mnapigwa wote!
 

leo simba wamenipa raha kweli kweli
 
Mafisango ameenda kushangilia bao lake mbele ya washabiki wa timu ya Wazee, anawaomba washangikie lkn wamemchinia na kumkodolea macho kwa hasira.

Si walizomea alipokosa penalt? Ha ha ha haaaaa...!!!!
 
Al Ahly timu piga simba bao 8 bila.Salamu ziwafikie Ismail Aden Rage na wachukia simba wote.Mungu ibariki Al ahly.
Pole. Dua la kuku halimfikii mwewe. Imekula kwenu kwani mnyama kamrarua shoga yenu mapande matatu na hivi nisemavyo karamu imekwisha. Simba 3; Marafiki wa wanyonge (Yanga) 0.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…