Kayoka JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 2,366 Reaction score 2,151 Apr 29, 2012 #41 bobani kapeleka msiba huko sudan
Fasouls JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 937 Reaction score 321 Apr 29, 2012 #42 safi sana keep it up simba!
M Msafiri Kasian JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,134 Reaction score 664 Apr 29, 2012 #43 Nani amefunga,na ni dk ya ngapi sasa?
bemg JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 2,799 Reaction score 644 Apr 29, 2012 #44 naona wasudan wamebania lakini mwisho simba ni mshindi
dubu JF-Expert Member Joined Oct 18, 2011 Posts 3,502 Reaction score 3,485 Apr 29, 2012 #45 haruna moshi boban kafunga goli, pass imetoka kwa Sunzu dak ya 67.
M Msafiri Kasian JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,134 Reaction score 664 Apr 29, 2012 #46 Pamoja sana dubu,uendelee kutujuza. Hapa nilipo stesheni za TZ hazishiki,kenya zaidi ndo zinadaka. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
M Msafiri Kasian JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,134 Reaction score 664 Apr 29, 2012 #47 Mungu uendelee kuibariki Simba!
Kayoka JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 2,366 Reaction score 2,151 Apr 29, 2012 #49 sipendi hawa watangazaji wa star tv na kiss fm, wanajifanya wao wanajua kila kitu kuhusu mpira. Ingieni basi na nyie tuwaone mtakavyokata mawowowoo yenu. Mpira hauko hivyo kama mnavyofikiria.
sipendi hawa watangazaji wa star tv na kiss fm, wanajifanya wao wanajua kila kitu kuhusu mpira. Ingieni basi na nyie tuwaone mtakavyokata mawowowoo yenu. Mpira hauko hivyo kama mnavyofikiria.
T Topi Member Joined Feb 7, 2012 Posts 59 Reaction score 17 Apr 29, 2012 #50 Simba wanapata goli la pili-Mafisango
W wasasa Member Joined Dec 17, 2011 Posts 67 Reaction score 32 Apr 29, 2012 #51 mafisango katuinua. simba 2 wasudan 0
Kayoka JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 2,366 Reaction score 2,151 Apr 29, 2012 #52 Simba 2 : al shandi 0 (mafisango)
dubu JF-Expert Member Joined Oct 18, 2011 Posts 3,502 Reaction score 3,485 Apr 29, 2012 #53 emanuel okwi katoa pass, mafisango akafunga goli.
Fasouls JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 937 Reaction score 321 Apr 29, 2012 #54 lete raha Kayoka!
bemg JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 2,799 Reaction score 644 Apr 29, 2012 #55 safi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
saitama_kein JF-Expert Member Joined Oct 29, 2009 Posts 981 Reaction score 100 Apr 29, 2012 #56 Updates wakuu...
Ibrah JF-Expert Member Joined Mar 22, 2007 Posts 2,730 Reaction score 536 Apr 29, 2012 #57 Mafisango ameenda kushangilia bao lake mbele ya washabiki wa timu ya Wazee, anawaomba washangikie lkn wamemchinia na kumkodolea macho kwa hasira.
Mafisango ameenda kushangilia bao lake mbele ya washabiki wa timu ya Wazee, anawaomba washangikie lkn wamemchinia na kumkodolea macho kwa hasira.
J JATELO1 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2011 Posts 1,230 Reaction score 304 Apr 29, 2012 #58 Kayoka said: Simba 2 : al shandi 0 (mafisango) Click to expand... safi sana mnyamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. bado goli 1 ili yawe 3-0.
Kayoka said: Simba 2 : al shandi 0 (mafisango) Click to expand... safi sana mnyamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. bado goli 1 ili yawe 3-0.
Cynic JF-Expert Member Joined Jan 5, 2009 Posts 5,144 Reaction score 1,655 Apr 29, 2012 #59 Inadhihirisha Simba ndiyo bingwa halisi/wa kikweli wa 2011...
saitama_kein JF-Expert Member Joined Oct 29, 2009 Posts 981 Reaction score 100 Apr 29, 2012 #60 dakika ya ngapi......