Simba tafadhali msimchukue yule kocha wa Mamelodi, please mtajuta sana

Viongozi wa Simba ni wapuuzi ,timu inapofanya vizuri wanajitokeza mbele,inapofanya vibaya wanaikimbia
 
Simba inatakiwa isipate Kocha miaka miwili Ili mvurugane vizuri timu urudi kuwa ya mashabiki sio familia.
unafahamu mgawo wa hisa au unaongea tu?btw Simba haiwezi kuvurugana ,itarecover ndani ya mwezi mmoja au miezi miwili
 
Unazungumza kuhusu hisa za kwenye maratasi? Hisa zenu nyinyi ndio zinanguvu ktk makaratasi ila kivitendo hisa za upande wa pili ndio zinaamua tumuuze nani na nani tununue marco polo tata na golden dragon.
 
mbona nye gsm anawaendesha anavyotaka pamoja ,maamuzi yanafanywa na GSM kina mswala na wananchi wamekaa tu kama mazuzu
 
🤣🤣🤣🤣🤣.... GSM hawezi kuingilia technical bench hasirani abadani.. ila kwenu huko jamaa anaweza kuamka asubuhi akasema "mechi ya leo nataka mipira yote ipitie kwa Morrison.. .halafu kipindi cha Kwanza tuuwe winga la kulia"... Mkikataa anasusa.
 
technical bench ipi unayozungumzia wakati engineer ndo anayewafuata wachezaji mwenyewe na kuwasajili
 
Simba imeimarika sana msimu huu kuliko msimu jana kama kigezo ni mechi nne za awali.....!!!

MSIMU JANA

(1) Ihefu 1 Simba 2
(2) Mtibwa 1 Simba 1
(3) Prisons 1 Simba 0
(4) Simba 0 Ruvu 1

MSIMU HUU

(1) Biashara United 0 Simba 0
(2) Dodoma jiji 0 Simba 1
(3) Simba 1 Police Tanzania 0
(4) Simba 0 Coastal Union 0
 
🤣🤣🤣🤣🤣.... GSM hawezi kuingilia technical bench hasirani abadani.. ila kwenu huko jamaa anaweza kuamka asubuhi akasema "mechi ya leo nataka mipira yote ipitie kwa Morrison.. .halafu kipindi cha Kwanza tuuwe winga la kulia"... Mkikataa anasusa.
Acha uongo.. gsm si ndo anaezunguka kote huko congo na kwingineko kutafuta wachezaji wa kusajili au mnaji sahaulisha.. more hafanyi ujinga huo
 
Simba pana shida sn sn.
Sijui kama watapata matokeo ya kueleweka this season.

Halafu kuna nguvu kubwa sn inatumika na wapinzani wenu kwenye kuwadidimiza
Thibitisha hiyo aya ya pili vinginevyo ukishindwa ni majungu tu na itakuwa timu imedorora kifomu sasa mtafuta visingizio nafuu.
 
Back
Top Bottom