Kikosi cha Simba cha sasa hivi kinanikumbusha timu ya kipindi cha nyuma cha Wekundu wa Msimbazi wakati ndio mpira unapigwa kihuakika. Ongeza wengine tujikumbushe soka lilivyokuwa tamu. Hata watani Yanga mnaruhusiwa kuweka Maveterani wenu hapa.
Mohamed Mwameja
Kasongo Athumani
Alphonce Modest
Deo Mkuki
George Masatu
Hussein Masha
Lenny Ramadhani
Edward Chumila
Malota Soma
Dua Said
Damian Kimti
Nteze John
Thomas Kipese
George Lucas
Na wengine wengi
Jamani nachmka uu..!!! Hamis Gaga hakuwa SSC?
Gagarino (RIP) alikua SSC akaenda Yanga, but Method Mogella (RIP)? Kama kumbukumbu zangu hazijadhurika na yale ya mabomu ya Mbagala then M. Mogella hajawahi kuchezea SSC.Gagarino mkuu alikuwa anazungusha dimba la kati SSC enzi zile akiwa na akina marehemu Method Mogela akizungusha namba sita! Bahati mbaya wote walifulia kwenda Jangwani!
Gagarino (RIP) alikua SSC akaenda Yanga, but Method Mogella (RIP)? Kama kumbukumbu zangu hazijadhurika na yale ya mabomu ya Mbagala then M. Mogella hajawahi kuchezea SSC.
Nadhani Mkuu umechanganya na Zamoyoni Mogella?
Nawakumbuka pia kina Twaha Hamidu 'Noriega', Idi Pazi 'Father', Frank Kassanga, Jamhuri Kiwehlo 'Mrema', Mustapha Hoza, Razak Yusuph 'Kareka' etc
Na hii nimeikuta kule mtaa wa pili kwa MICHUZI,
simba sc yaongoza kwa ubora duniani?
hii haina ubishi wakuuNa hii nimeikuta kule mtaa wa pili kwa MICHUZI,
simba sc yaongoza kwa ubora duniani?
wewe kumbukumbu zako naona bado zina mabomu ya mbagala,both method na zamoyoni mogella wamechezea simba na yanga.wote walianza na simba then wakaenda yanga layer katika vipindi tofauti.Gagarino (RIP) alikua SSC akaenda Yanga, but Method Mogella (RIP)? Kama kumbukumbu zangu hazijadhurika na yale ya mabomu ya Mbagala then M. Mogella hajawahi kuchezea SSC.
Nadhani Mkuu umechanganya na Zamoyoni Mogella?
Nawakumbuka pia kina Twaha Hamidu 'Noriega', Idi Pazi 'Father', Frank Kassanga, Jamhuri Kiwehlo 'Mrema', Mustapha Hoza, Razak Yusuph 'Kareka' etc
Pamoja na viwango vizurh uwanjani,unakumbuka watangazaji wa mpira kwenye redio walivyo kuwa mahiri?
Chaz Hilary
Sued Mwinyi
Juma Nkamia etc,hawa walifanya burudani ya aina yake..ukienda uwanjani unabeba kiredio chako ili kusikiliza ingawa unaangali mechi.