Megawatt B
JF-Expert Member
- Aug 23, 2011
- 259
- 69
Miezi kadhaa nilileta thread hapa kuwaulikiza wanachama na wapenzi wa simba, nani kaona eneo au kiwanja Rage na uongozi wa simba wanasema watajenga uwanja. sikupata jibu. Uongozi wa Rage umebakiza muda mfupi tu hata uwanja wa mazoezi hakuna na alijinasibu kuwa uwanja utajengwa katika kipindi hiki, hakuna. alianza kuwapa moyo wanaSimba kuwa anamakubaliano na waturuki hadi leo imebaki hadithi tu.
Akasoma alama za nyakati kwenye mkutano wa juzi, akatafuta mbinu ya kuwapumbaza wanasimba na kuwa aambia kuwa fedha za Okwi zitaanzia ujenzi, mbona habari ya waturuki haikusemwa? anawaambia fedha za Okwi huku akijua Okwi hakufaulu na hakuna hata kashilingi, watu wameshangilia jamaa anapeta tu. Akwapumbaza tena, eti wamelipia Tsh. 50 milioni bado 30. watu wakachanga zaidi ya hizo, hivi kweli simba inashindwa kukusanya milion 80 kwa miaka minne kweli? kama milion 30 zilichangwa chap chap pale kwenye mkutano wameshindwaje kuchanga hata milioni mia mbili kwa miaka mitatu iliyopita ya uongozi huu wa Rage? mbona wachezaji wananunuliwa kwa mamilioni ya shilingi kila mwaka? Hebu tujiulize..
1 .Kiwanja cha Bunju kibo Bunju ipi - A au B?
2. Miaka miaka 70 ya klabu, hata heka mbili tu za mazoezi?
3. Wale waturuki wapo wapi
4. Fedha za Okwi, zinakuja lini, ujenzi uanze
5. Zile zilizochangwa pale kwenye mkutano zimelipwa? risiti ipo wapi
6. Rambi rambi za Mafisanago maelezo yake yakoje? mbona hata hitima ishapita
7.
Hakika Simba ni shamba la bibi. Jiulize: