Simba SSC- Uongozi unacheza na akili zenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simba SSC- Uongozi unacheza na akili zenu

Discussion in 'Sports' started by Megawatt B, Aug 10, 2012.

 1. M

  Megawatt B JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Miezi kadhaa nilileta thread hapa kuwaulikiza wanachama na wapenzi wa simba, nani kaona eneo au kiwanja Rage na uongozi wa simba wanasema watajenga uwanja. sikupata jibu. Uongozi wa Rage umebakiza muda mfupi tu hata uwanja wa mazoezi hakuna na alijinasibu kuwa uwanja utajengwa katika kipindi hiki, hakuna. alianza kuwapa moyo wanaSimba kuwa anamakubaliano na waturuki hadi leo imebaki hadithi tu.
  Akasoma alama za nyakati kwenye mkutano wa juzi, akatafuta mbinu ya kuwapumbaza wanasimba na kuwa aambia kuwa fedha za Okwi zitaanzia ujenzi, mbona habari ya waturuki haikusemwa? anawaambia fedha za Okwi huku akijua Okwi hakufaulu na hakuna hata kashilingi, watu wameshangilia jamaa anapeta tu. Akwapumbaza tena, eti wamelipia Tsh. 50 milioni bado 30. watu wakachanga zaidi ya hizo, hivi kweli simba inashindwa kukusanya milion 80 kwa miaka minne kweli? kama milion 30 zilichangwa chap chap pale kwenye mkutano wameshindwaje kuchanga hata milioni mia mbili kwa miaka mitatu iliyopita ya uongozi huu wa Rage? mbona wachezaji wananunuliwa kwa mamilioni ya shilingi kila mwaka? Hebu tujiulize..
  1 .Kiwanja cha Bunju kibo Bunju ipi - A au B?
  2. Miaka miaka 70 ya klabu, hata heka mbili tu za mazoezi?
  3. Wale waturuki wapo wapi
  4. Fedha za Okwi, zinakuja lini, ujenzi uanze
  5. Zile zilizochangwa pale kwenye mkutano zimelipwa? risiti ipo wapi
  6. Rambi rambi za Mafisanago maelezo yake yakoje? mbona hata hitima ishapita
  7.

  Hakika Simba ni shamba la bibi. Jiulize:
   
 2. M

  Makupa JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Tatizo ni uwepo wa huyu msomali kuwa kiongozi wa simba.
   
 3. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Muda si mrefu Azam itakuwa ndiyo mwalimu wa soka Tz.
   
 4. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 521
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  umeanza mapema sana kampeni, kwa nn hukuuliza ktk mkutano mkuu wa club? hukumuona Rage kwenye mkutano? unategemea ni nani anaye weza kukupa majibu kama si Rage na makamu wake?
   
 5. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Leo nimeamka na wazo jipya,nafikiri iko haja ya mimi kwenda kugombea 1 ya nafasi za juu kabisa za uongozi wa team ya Simba,labda (nasema tena,labda) kosa langu ni kujipambanua mapema hapa JF kuwa moyo wangu umelalia wapi lkn No....nitakwenda, wengi (naomba nieleweke vizuri hapa,wengi) wa Wanachama na Mashabiki wa Simba ni s hapanio waelevu shaka watanichagua tu.
  Waliambiwa Mwenyekiti amekamilisha kazi ya Twite na angetambulishwa kwenye Mkutano mkuu,siku ya mkutano inafika hola...wakaambiwa tena angekipiga siku ya Simba day,siku ya Simba Day ikafika hola,sasa imethibitishwa kuwa atakipiga Jangwani lkn bado Wapenzi na Wanachama wa Simba despite longolongo zote za Viongozi wao wanawaona TFF na kuongeza muda wa usajili kuwa ndo Mchawi wa kumtorosha Twite wao.
  Haya kwenye Simba day pale Mh Rage akawahakikishia Wana Simba(kama ambavyo amewahi kuwahakikishia hapo nyuma kumsajili Asamoah,Nizar na Yondani kutochezea Yanga Kagame) kuwanYondani huyohuyo hatacheza Ligi kuu na kama Yanga watataka imtumie mchezaji huyu basi watatakiwa watoe Mill 60 fedha za kitanzania,Wanachama wa Simba wakashangillllliaa,wakiamini kuwa hivi karibuni team yao itavuna mahela mengine kwa kuuza mchezaji,eh.....
  Kuna nini huko Simba?, unajua hali hii ya kuchezewa akili mchana kweupee inanifanya nianze kuamini kuwa inawezekana katika Dunia hii ushirikina upo kweli,naanza kuhisi siyo bure......

  Wapenzi na wanachama wa Simba tafakarini na kuchukua hatua,hao viongozi wenu wameshawaona "MABOYA"
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Yanga iko juu kimkakati.
   
 7. M

  Maswalala Senior Member

  #7
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani hebu waacheni hawa jamaa naona wanapita tu kuchungulia bila kuacha comments zozote kwa aibu .,mhurumien maha rage
   
 8. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,568
  Likes Received: 1,932
  Trophy Points: 280
  Rage mutoto ya mujini.
   
 9. afrique

  afrique JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 495
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  san tu,maneno machache,vitendo 800%
   
 10. m

  makumvi Member

  #10
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Sawa msemaji wa simba. tumekusikia
   
 11. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Rambi rambi ya patrick mutesa mafisango mtatuma lini?
   
 12. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #12
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  tulisafirishia mwili wake. mazishi yake uligharamikia wewe au?
   
 13. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #13
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  simba nguvu moja tutakutana kwenye ligi hapo wajumbe wengine watachia nafasi zao ndani ya club yenu
   
 14. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #14
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  kwa soka la bongo sahau
   
 15. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #15
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Subiri Maarage aje kulia hapa...
   
 16. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #16
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Pelekeni chenji ya marehemu jamani sio vizuri.
   
 17. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #17
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ili iweje?
   
 18. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #18
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Isomeshe mtoto wa marehemu
   
Loading...