Ni wabunge hawa hawa waliopitisha bajeti finyu ya wizara ya michezo na utamaduni, ndio wanaofulrahia kuzialika simba na yanga bungeni, kwa Yanga nadhani walikuwa sahihi kualikwa kwa sababu ya umuhimu wa mashindano ya kombe la kagame, japo bado sioni mantiki pia ya Yanga kualikwa kupeleka kombe bungeni, leo hii Simba nao wametinga bungeni na ngao ya hisani, sijui tunaelekea wapi na suala la michezo , haya sasa ni maigizo
sioni mantiki ya simba kualikwa mjengoni...hawa wabunge wanatukata tu hamna lolote
kama ni kuwafunga yanga tuliwafunga kwa zaidi ya miaka nane nini miaka miwili..haimanishi naunga mkono simba kukaribishwa bungeniMkuu hauoni mmepata mafanikio makubwa sana kuifunga yanga, maana ulikuwa unakatika mwaka wa pili mnachezea vichapo vya yanga, pelekeni hiyo nepi yenu ya hisani.
Mh, ndo' maana mpira wetu unadumaa, vikombe vya mbuzi
tunaanza kupongezana kwa kupelekana bungeni!
Simba ana kila sababu ya kwenda bungeni sio kwa sababu kashinda ngao ya hisani ila kwa sababu M/kiti wao ni mbunge. Yanga hakuwa na sababu kwa sababu kombe alilolichukua yeye sio wa kwanza kufanya hivyo, Simba SC ashalichukua mara kibao tena zaidi ya Yanga lakini hajawahi kwenda huko bungeni.
Man walipeleka kikombe white house walipotembelea USAWakuu, hivi Man Utd, Barca, hivi wameishakwenda mara ngapi bungeni?